The Founder
Esquire Harel Bocobza

Wakili Bocobza, mwanzilishi wa Kampuni ya Uanasheria ya Bocobza Law, ni miongoni mwa wanasheria wa kiwango cha juu Israel, eneo la mashariki ya kati na kimataifa kwa jumla. Harel ana ujuzi kwa maswala ya sheria, biashara na ushauri kwa ushuru wa kimataifa, diplomasia na academia. Ana cheti cha uanasheria cha New York, Israel na shahada tatu (LL.B, LL.M, MBA) na ametuzwa na vyuo vikuu vya kimataifa.

Ameishi na kusomea nchi mbalimbali ulimwenguni zikiwemo New York city, Berkeley, London na Paris. Yeye ni mtaalamu mwenye tajriba katika maswala ya diplomasia ya ulimwenguni kwa vile aliwahi hudumu katika Wizara ya Israel ya Mambo ya nje (MFA) huko alifanya kazi na maafisa wa Nyanja za juu na mabalozi kutoka nchi tofauti. Aliwahi kushiriki katika kongamano la ujumbe wa kisiasa uliokuwa Berlin Ujerumani.

Kabla ya kuanzisha kampuni ya kisheria ya Bocobza Law wakili Bocobza akihudumu kama wakili katika kampuni tajika na maarufu nchini Israeli ya Yigal Amon & co. akihudumu pale alishirikiana na mawakili wenzake katika kesi tata sana zilizohusu biashara, na baadaye alifanya kazi katika kampuni ya kimataifa ya Ernest and Young katika kitengo cha kodi na uegezaji kwa muda wa miaka kadhaa, na pale aliweza kunoa makali yake katika upangaji wa ushuru wa kimataifa.

Harel Bocobza anapenda sanaa, upishi, michezo, muziki, kuangalia sinema, fasihi, mvinyo, vitu asili na falsafa.

Kauli mbiu yake ni “ ulimwengu unasimama kwenye nguzo tatu; Maadili, Kazi, na Uhisani” Pirkel Avot (Ethics of the Fathers) chapter A MishnahB, Shimon H Tzadik (The Righteous)

Hati za Utaalamu:

Mashirika ya Utaalamu

  • Chama Cha Mawakili New York
  • Chama Cha Mawakili Israel
  • Jamii ya Berkeley Ulimwenguni

Masomo

Shahada ya Uanasheria (LL.M), Chuo Kikuu cha California, Berkley, Mwanachana Mheshimiwa kwa Orodha ya Mkuu wa Kitivo

  • Cheti cha Utaalamu;Sheria ya Teknolojia
  • Cheti cha Utaalamu;Sheria ya Biashara
  • Mpokeaji wa Tuzo ya Ulimwengu

Shahada ya Uzamili ya (LL.B), Chuo Kikuu cha Uyahudi cha Jerusalemi, Kitivo cha Sheria-Utaalamu katika Biashara, Mashirika, Kodi, Mktaba na Teknolojia ya Sheria.

  • Mwaka mmoja katika Chuo Kikuu cha Georgetown, Masomo ya Kulinganisha Biashara ya Kimataifa, Sheria ya Kimataifa, Mashirika, Mktaba na Sheria ya Teknolojia.

Shahada ya Usimamizi wa Biashara (M.B.A), Chuo Kikuu cha Uyahudi

  • Utaalamu kwa Fedha, Benki, Teknolojia na Uvumbuzi wa Miradi ya Uongozi

Chukuo Kikuu Cha California, San Diego, Shule ya Uongozi ya Rady.

  • Alisomea Ujarisimali, Vichapuzi, Kiangulio, Kuanza, Teknolojia na Uvumbuzi.

Mwaka mmoja katika Shule ya Sayansi, Usimamizi na Uvumbuzi ya Paris (Sciences Po Paris School of Management and Innovation-Utaalamu kwa;

  • Fedha, Mbinu ya Biashara, Miradi ya Usimamizi, Uvumbuzi na Ujarisimali.

Kazi ya Kadeti ya Kidiplomasia (37th), Wizara ya Mambo ya nje, Jerusalemi, Israel ( wagombea 25/5000)

Lugha anasozungumza

Kiebrania, Kiingereza, Kifaransa, Kihispania (cha msingi), Kiitaliano (cha msingi) na Kiarabu (cha msingi)

The information contained in this website is provided for informational purposes only and should not be construed as legal advice on any subject matter and should not be relied upon as such. HBL accepts no responsibility for any consequences whatsoever arising from use of the information contained in this website. The accessing of information contained in this website shall under no circumstances be considered as creating an attorney-client relationship between HBL and any party accessing this web site. Contacting through email any lawyer named in this website or sending information without prior agreement of HBL shall not be construed as automatically creating an attorney-client relationship between HBL and the party sending an email or information. The material contained in this web site has been created by and remains the property of HBL. No reproduction, transmission, publication or any other form of dissemination shall be permitted unless the prior written consent of HBL has been obtained. This web site may contain links to other websites operated by third parties. HBL does not sponsor, approve or endorse the content of any such website and is not responsible for the materials appearing in such sites.

HBL does not carry liability for any legal and other types of work provided by any lawyer / professional related to HBL, unless such agreed explicitly and in writing, and only in services tightly related to HBL.